Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA KITAIFA , HABARI ZA LEO - Halmashari yatuumiwa Musoma Vijijini

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Musoma vijijini imekuwa na tabia ya kuruhusu utoaji wa vifaa mbalimbali ya Hospitali ambavyo hutolewa bure kwa kuwatoza wahitaji wake. Hayo yameelezwa na Mh. Magesa kutoka Musoma mkoani Mara kuwa hospitali zimekuwa zikiwatoza wagonjwa hadi Sh. 500 kwa ajili ya Mabomba ya sindano na Sh. 1000 kwa ajili ya kadi za watoto.

0 comments

Post a Comment