Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA KIMATAIFA , HABARI ZA LEO - Zuma anaongea na Urusi kuhusu Libya

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Wizara ya Mashauri ya Nchi za Nje ya Afrika kusini inasema kuwa Rais Jacob Zuma anafanya ziara mjini Moscow, kama sehemu ya juhudi zake za kutafuta suluhu ya kisiasa katika vita vya Libya.


Wizara hiyo imeeleza kuwa Bwana Zuma atahudhuria mkutano wa Ujumbe wa Kimataifa unaoshughulika na Libya, ambao unaijumuisha Urusi.


Bwana Zuma anapatanisha kwa niaba ya AU katika mzozo wa Libya.

0 comments

Post a Comment