Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA KISIASA , HABARI ZA LEO - TAWI LA CCM MOSCOW LAFANYA MABADILIKO YA SEKRETARIET YAKE

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Tawi la CCM lililopo mjini Moscow nchini Urusi limefanya mabadiliko ya kamati yake ya utendaji. Katika taarifa iliyotoolewa kwa vyombo ya Habari na Katibu wake wa Tawi Boniface Assenga, abadiliko hayo yalipitishwa na Halmashauri kuu ya Tawi hilo tarehe 18/06/2011 na kutangazwa leo. kutokana na mabadiliko hayo, viongozi wa Tawi hilo ni kama ifuatavyo;

JINA
NAFASI
VIKAO
VIKAO2
1
Dr. ALIFRED KAMUZORA
MWENYEKITI WA TAWI
MJUMBE KAMATI YA SIASA NA HALMASHAURI KUU YA TAWI

2
BONIFACE ASSENGA
KATIBU WA TAWI
MJUMBE KAMATI YA SIASA NA HALMASHAURI KUU YA TAWI
MWENYEKITI SEKRETARIET YA TAWI
3
KASSIM KOLOWA
KATIBU WA SIASA NA UENEZI
MJUMBE KAMATI YA SIASA NA HALMASHAURI KUU YA TAWI
MJUMBE SEKRETARIET YA TAWI
4
SALIMU MFUNGAHEMA
KATIBU WA SIASA NA UENEZI
MJUMBE KAMATI YA SIASA NA HALMASHAURI KUU YA TAWI
MJUMBE SEKRETARIET YA TAWI
5
CHRISPINE BAKUNDA
KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA
MJUMBE KAMATI YA SIASA NA HALMASHAURI KUU YA TAWI
MJUMBE SEKRETARIET YA TAWI
6
HILDA KIFANGA
MSAIDIZI WA KATIBU WA UCHUMI NA FEEDHA
MJUMBE KAMATI YA SIASA NA HALMASHAURI KUU YA TAWI
MJUMBE SEKRETARIET YA TAWI
7
MBAROUK MAHMUD
MWENYEKITI UVCCM TAWI
MJUMBE KAMATI YA SIASA NA HALMASHAURI KUU YA TAWI

8
REHEMA SIMBA
MWENYEKITI UWT TAWI
MJUMBE KAMATI YA SIASA NA HALMASHAURI KUU YA TAWI

9
Dr. MOHAMED RAFIK BACHOO
MWENYEKITI WAZAZI TAWI
MJUMBE KAMATI YA SIASA NA HALMASHAURI KUU YA TAWI

10
ODILIA KASIGA
MJUMBE KAMATI YA SIASA TAWI
MJUMBE KAMATI YA SIASA NA HALMASHAURI KUU YA TAWI

11
ALI AMEIR HAJI
MJUMBE KAMATI YA SIASA TAWI
MJUMBE KAMATI YA SIASA NA HALMASHAURI KUU YA TAWI

12
MANDA IDD SHAABAN
MJUMBE KAMATI YA SIASA TAWI
MJUMBE KAMATI YA SIASA NA HALMASHAURI KUU YA TAWI

13
AZIZ CHUMA
MJUMBE KAMATI YA SIASA TAWI
MJUMBE KAMATI YA SIASA NA HALMASHAURI KUU YA TAWI

14
OCTAVIAN NYALALI
KATIBU UVCCM TAWI
MJUMBE HALMASHAURI KUU YA TAWI
MJUMBE SEKRETARIET YA TAWI
15
PROSCOVIA MWAMBI
KATIBU UWT TAWI
MJUMBE HALMASHAURI KUU YA TAWI
MJUMBE SEKRETARIET YA TAWI
16
MARIA SEMEN
KATIBU WA FEDHA UVCCM TAWI
MJUMBE HALMASHAURI KUU YA TAWI
MJUMBE SEKRETARIET YA TAWI
17
EZELINA MWAIFUNGA
KATIBU WA FEDHA UWT TAWI
MJUMBE HALMASHAURI KUU YA TAWI
MJUMBE SEKRETARIET YA TAWI
18
NASSORO KAPONTA
MJUMBE TOKA SHINA BL.6
MJUMBE HALMASHAURI KUU YA TAWI

19
PROSPER NYAMANDA
MJUMBE TOKA SHINA BL.9
MJUMBE HALMASHAURI KUU YA TAWI

20
OMARI KAPILIMA
MJUMBE TOKA SHINA BL.10
MJUMBE HALMASHAURI KUU YA TAWI

21
MJUMBE TOKA SHINA BL.1
MJUMBE HALMASHAURI KUU YA TAWI

22
MJUMBE TOKA SHINA BL.2
MJUMBE HALMASHAURI KUU YA TAWI

23
MJUMBE TOKA SHINA BL.5
MJUMBE HALMASHAURI KUU YA TAWI

24
MJUMBE TOKA SHINA BL.7
MJUMBE HALMASHAURI KUU YA TAWI

25
MJUMBE TOKA SHINA BL.8
MJUMBE HALMASHAURI KUU YA TAWI

26

MJUMBE TOKA SHINA BL.11
MJUMBE HALMASHAURI KUU YA TAWI

0 comments

Post a Comment