Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA KITAIFA , HABARI ZA LEO - Mbowe aachiwa huru

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe (wa tatu kushoto) akitoka maeneo ya mahakama mara baada ya kuachiwa huru.
MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe leo ameachiwa huru baada ya kesi yake iliyokuwa inamkabili ya kutotii mahakama kusikilizwa na hakimu mkazi mfawidhi, Charles Magesa katika mahakama ya jiji la Arusha na baadae kuhairisha mpaka Juni 24 mwaka huu.