Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - NATO kwawaka moto. Ujerumani yajitoa NATO.

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter

Eneo la Mediter- ranean ambalo Ujerumani haitashiriki operation yoyote inayoongozwa na NATO.

 Ujerumani imetangaza kujiondoa katika operesheni za Jumuiya ya Kujihami ya NATO katika eneo la Mediterranean kutokana na jeshi la muungano kushiriki katika mzozo wa Libya. Msemaji wa wizara ya ulinzi amesema manowari mbili na meli nyingine mbili zitarejea katika kikosi cha Ujerumani.
Manowari hizo za Lübeck na Hamburg ni sehemu ya operesheni za juhudi za NATO katika kupambana na ugaidi kwenye eneo hilo. Kiasi wanajeshi 70 wa Ujerumani wanaoshiriki katika operesheni za NATO pia wataondolewa.
Tags:

0 comments

Post a Comment