Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Arusha: Mama Slaa apigwa vipaya na Polisi

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Thursday 06/01/11 12:31 midnight


Hali bado ni tete jijini Arusha, Hadi jioni Risasi zinarindima. Wafuasi wa CHADEMA wakesha kituo cha polisi wakishinikisha viongozi wao kuachiwa. 
Ujumbe toka Selo:
"TUKO TUMELALA KITUONI JAPO HATUKO LOCKUP. M/KITI MBOWE, NDESA na SLAA TUKO POLISI MKOANI. WABUNGE LEMA,SELASINI WAKO CENTRAL. KESHO MAHAKAMANI" 


huo ni ujumbe toka ndani ya selo walikopelekwa viongozi wa CHADEMA.


Kwa habari zaidi fuatana nasi.
Tags:

0 comments

Post a Comment