Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Arusha: Maelfu wajitokeza Mazishi

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Picha kwa hisani ya GP.
Pichani juu na chini Wafuasi wa Chadema wakiwa wamebeba majeneza ya vijana wawili waliouwawa na polisi mkoani Arusha mapema wiki hii. Ibada ya kuwaombea marehemu ilifanyika katika uwanja wa NMC leo na kuhuduriwa na maelfu ya wakazi wa jiji hilo.
Mwenekiti wa Chadema, freeman Mbowe (kushoto) akiongoza ubebaji wa majeneza hayo.
Mbowe akiwataka wafuasi wake kuwa watulivu katika ibada hiyo
Mke wa marehemu,Ismail Omary akilia kwa uchungu nje ya chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya mkoa ya Mount Meru Arusha wakati wa kuelekea katika ibada ya kuwaaga marehemu hao.
Tags:

0 comments

Post a Comment