
You Are Here: Home - - SWALI LA KUTOA BARIDI KUHUSU MAMBO MAGUMU YA MUUNGANO....
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
Pemba yenye watu 362,000 IMETOA WABUNGE 19 katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tukichukua mahesabu ya haraka haraka, watu wenye sifa ya kupiga kura waliojiandikisha katika jimbo la ubungo ni zaidi ya 400,000! Je, Kwa uwiano sawa, si Ubungo ingeakiwa iwe na wabunge 20?

0 comments