You Are Here:
Home -
-
Bongo Daresalamu
Bongo Daresalamu
Posted by B.M.T on Thursday, May 06, 2010 //
0
comments
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
 |
Licha ya kutolewa kwa taarifa ya kutokuwepo kwa usumbufu wa msongamano wa magari wa mara kwa mara kipindi hiki ambapo Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi kwa Bara la Afrika (WEF) unaendelea jijini Dar es Salaam, bado maeneo mbalimbali yamekuwa yakitawaliwa na msongamano huo na kuwa tatizo kwa wananchi kama inavyoonekana pichani katika barabara ya Morogoro katikati ya jiji magari yakiwa yamesongamana, jana |
Tags:
0 comments