You Are Here:
Home -
-
Jerry Muro aachiliwa kwa dhamana baada ya kukamatwa.
Jerry Muro aachiliwa kwa dhamana baada ya kukamatwa.
Posted by B.M.T on Saturday, February 06, 2010 //
0
comments
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
 |
Mwandishi wa Habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Jerry Muro (kulia) akiwa na ndugu yake wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Muro na wenzake wawili wamesomewa mashitaka ya kuomba rushwa ya sh milioni 10. (Picha na Mpigapicha wetu). |
Tags:
0 comments