Usipime, palikuwa hapatoshi.....
Wee, acha utani, saa mbili asubuhi watu bado wanakula disco...
THE TRIPLE J. (from left JULIE, JUDY, JOY) BEAUTIFUL !!!
Wee, acha utani, saa mbili asubuhi watu bado wanakula disco...
Online : |
You Are Here: Home - - Sherehe za Mwaka Mpya zilizofanyika katika kumbi za ndani za Ubalozi wa Tanzania Moscow Russia..
This comment has been removed by a blog administrator.
Watu wapumbavu sana acheni wivu na roho mbaya kwa dada zetu, sioni haja ya kuponda na kuandika umpumbavu, huyo mtu ni mpumbavu alieandika comment ya kwanza,
Wapumbavu, hoyeee!!!wakumbavu hoyeee!!
wapumbavuu aaaaaaaaa!!!!!!!!!!
Wee mdau Anonymous umenifurahisha sana. Wapumbavu, Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
sasa post ya kwanza mbona haipo?mmeitoa?ilisemaje?
hata mimi huyo mdau Anonymous amenifurahisha sana....acheni majungu jamani,huo muda wakufatilia wenzenu mnapata wapi.....???wanamajungu eeee eeeee....wanamajungu...eeee.... wanamajungu.. aaaaaa...!!!!!
Wee mdau anonymous ningekufahamu jina lako ningekupa zawadi nono. maana umefurahisha wengi. hivi tuna dada wangapi moscow? du! inabidi upewe pongezi... wajingawajinga hoyeee...wajinga hoyeeee...wajingawajinga aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!