Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA MICHEZO - Yanga ndio Kidume,,,,,

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter YANGA  NDO KIDUME! YANGA  NDO KIDUME! YANGA FC 'watoto wa Jangwani' ndo wameibuka wababe katika mpambano wa kukata shoka uliopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, baada ya kuichabanga Simba Fc mabao 2-1! kwenye mechi iliyochezwa kwa dakika 120 baada ya kutoka sare kwa muda wa kawaida wa dakika 90

0 comments

Post a Comment