Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Miss world 2009. Miss Tanzania Hola...

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter MISS WORLD 2009: TANZANIA KAMA KAWAIDA!
MISS WORLD 2009: TANZANIA KAMA KAWAIDA! MISS WORLD 2009: TANZANIA KAMA KAWAIDA!
MISS WORLD 2009: TANZANIA KAMA KAWAIDA!
Hatimaye Miss World 2009 amepatikana usiku wa kuamkia leo na safari hii ni mwanadada Kaiane Aldorino kutoka ki nchi kidogo cha Gibraltar chenye wakazi wasiozidi 29,000 ambao wako chini ya utawala wa Waingereza. Mshindi wa pili ni Miss Mexico, Perla Beltran Acosta. Nafasi ya tatu imekwenda kwa wenyeji Afrika Kusini na aliyewawakilisha vyema alikuwa bibie Tatum Keshwar. Tanzania kama kawaida, Miss wetu hakuambulia kitu!
Tags:

0 comments

Post a Comment