Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Masanja Mkandamizaji ahitimu certificate....

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter

MASANJA NA SIMON WANG’ARA MAHAFALI YA UANDISHI WA HABARI

‘Staa’ wa kundi la Orijino Komedi, Emanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ na msanii wa maigizo kutoka katika kundi la Kaole Sanaa Group, Simon Simalenga ‘Dimera’ hatimaye leo wametunukiwa Stashahada katika fani ya Uandishi wa habari na utangazaji wa Radio na Televisheni Katika Chuo cha Habari Dar es Salaam (DSJ).
Emanuel Mgaya ‘Masanja’ akiwa kwenye picha ya pamoja na Simon Simalenga ‘Dimela’muda mfupi baada ya kupokea vyeti vyao. MASANJA NA SIMON  WANG’ARA MAHAFALI YA UANDISHI WA HABARI Simon Simalenga ‘Dimela’ akiwa kwenye pozi la pamoja na wahitimu wenzake. MASANJA NA SIMON  WANG’ARA MAHAFALI YA UANDISHI WA HABARI Emanuel Mgaya ‘Masanja’ akipiga makofi muda mfupi kabla ya kutunukiwa cheti chake.
Tags:

0 comments

Post a Comment