Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Kutokana na maombi ya wadau wengi , THE THOMCOM Inc. imetafuta Orodha ya majina ya wanafunzi wanaodaiwa ada.

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Kuna mdau mmoja ameimegea THE THOMCOM Inc. kuwa wengi wao wametumia ada hizo kusafirii kwenda bongo kwa madai ya kutembelea ndugu, jamaa na marafiki. Globu hii ya jamii haijapata kudhibitisha madai hayo..
Tags:

9 comments

  1. Anonymous says:

    mbona orodha haionyeshi majina mengine?maana deni ni kibwa kuliko idadi ya wadaiwa,em tupe majinaz yote,walioona ujiko kwenda tz kwa kutumia adaz?

  2. Anonymous says:

    Nimeelewa sasa kumbe ni sahihi,walipe tu walifikiri wanasoma bure?Kama mwanafunzi ana akili kichwani hawezi kula adaz sijui hao akili zao zinacharge.Nipostie hiyo baba waisome pengine watapata akili japo ya kuwasukumasukuma hapa Russia.

  3. Anonymous says:

    kumbe ata akina nanihii wapo?aibu wanaonekana wenye busara kumbe hamna kitu.asante mzee wa blog kwa kutuhabarisha.

  4. Anonymous says:

    na wengine ada yao imeliwa na watu wa kati...mkuu usijifanye hujui...

  5. Anonymous says:

    du! Ila watu kama akina Prosper Nyamanda tuwasamehe tu mana walitumia ela nusu au sio mazee

  6. askofu says:

    Mii askofu ni msema kweli tupu aibu yote ya nini mtu anadaiwa dola 100 au 200 P inashuka? angalieni fresh hata mwenyekiti nae yupo

  7. mzee wa busala says:

    Mii mzee wa busara angalieni vizuri nitaweka vichwa vyenu kwenye makalio achen kusema mambo yangu ada nimekula na kiwanja nimenunua na foundation nimeweka utashangaa ukija bongo foundation yangu ishakua house utataka kupanga kama hujaoa no room paka wee

  8. Anonymous says:

    ina maana prospa hadaiwi ada?? hii list imekosewa jamani

  9. Anonymous says:

    kuna wengine hawadaiwii,na wengine ni mistake ya serikali,baadhi yao sio wa kulaumiwa.

Post a Comment