
A woman weaves a mat while her baby sits in a wash basin probably to cool off, as captured by our photographer at Vingunguti, Dar es Salaam yesterday. According to weather forecasts temperatures in Dar es Salaam stood at 36°C yesterday. (Photo: Khalfan Said)


Ndugu hamjaona joto bado hio 36 si kitu kama hapa kwetu Oman sisi kuanzia 45 mpaka 50 unaweza hata kuyayuka yani kwa jua kali na joto la Oman, yani nchi zote za Gulf.