Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Dada Emmy ametutoka, Mungu Ametoa na Yeye ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe...

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Habari zilizoifikia THE THOMCOM Inc. zinasema kuwa Dada Emiliana M. Mwidunda ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa nne (4) ambaye alitarajia kuwa daktari wa upasuaji ameaga dunia asubuhi ya leo jumatatu tarehe 16.11.2009. Familia ya Dada Emiliana M. Mwidunda na wanafunzi watanzania wanaosoma Chuo Kikuu Cha Urafiki Moscow Russia wako kwenye majonzi makubwa baada ya kuondokewa kwa mpendwa huyo. THE THOMCOM Inc. inapenda kuchukua nafasi hii kupeleka salamu za rambirambi kwa familia ya Dada Emmy, ndugu, jamaa na marafiki na kwa watanzania wote waishio moscow katika wakati huu mgumu wa kimaisha. Mungu ametoa na Mungu ametwaa. Jina la Mungu lihimidiwe
Picha mbalimbali akiwemo Dada Emmy. mojawapo ni maeneo ya kanisa moja lililoko Moscow Russia, picha iliyopigwa mara baada ya Ibada ya Misa. Picha hii ilipigwa mwaka 2006..
Tags:

5 comments

 1. Anonymous says:

  sio kweli

 2. Anonymous says:

  SO 'SHOCKING'AND TOO SUDDENLY..EMMY MY LOVE FRIEND I WILL NEVER FORGET YOU ESPECIALLY YOUR POSITIVE THINKING,WISDOM, COURAGE,DETERMINATION AND CREATIVE IDEAS.YOU HAVE BEEN A PERFECT MODEL DURING YOUR LIFE TIME TO MOST PEOPLE ALSO HARD FIGHTER.SO,SO,SO, SOON ...EMMY,EMMY,EMMY,EMMY,EMMY REST IN PEACE AMEN.WE WILL MISS YOU

  LONDON.

 3. Anonymous says:

  Assenga yaani umeshindwa kupata picha nzuri za marehemu waweka picha za ovyo hizi???mbona wakati wa uhai wake kapiga picha na wengi na nzuri kwa publish hata kwenye facebook yake Emmmy anapicha nzuri sana.try to be serious yaani sikuelewi hata kidogo.Kweli common sense uncommon.

 4. annette says:

  what a schocking news, emmy was real a wonderful person i ve come to know im my life, i remember those days while we were still in high school, she was full of life and many wonderful dreams ahed of her, if she had live to be a doctor then she would ve been on of the greatest doctors. we will miss you so much.
  REST IN PEACE EMMY.
  love
  annette

Post a Comment