You Are Here: Home - - Hebu pima wadau...mtoto huyu ana miaka 19
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
KADIRIA Chombo (pichani kulia) ni binti mwenye umri wa miaka 19 ambaye anakabiliwa na tatizo la ulemavu wa viungo na ambaye huishi kwa kula vyakula laini kama uji kwa miaka yote tangu kuzaliwa.........
muacheni mungu aitwe mungu,kweli binaanamu kama hujafa hujaumbika.tukumbke huyu hakumkosea mungu chochote,kama ilivyo kuwa mimi na ww hatuku mpendeza mungu saana ndio tukawa kama tulivyo,sisi tunaonaa,tuna zungunza,tunapumua,tunatembea kwa miguu miwili, etc ninani anae weza kuelezea mechanism ya hivi vyote?je ninani anae weza kumlipa mungu?hebu ndugu yangu tumrudie mungu,tuache machafu yote tuache zinaa,hebu muislamu anza kuswali,soma qur-ani mtii ALLAH,nawe ndugu yangu mkristo kwanini usiungame,ukamuelekea muokozi?tukumbuke mauti yapo,hatuuwi pengine kesho hutafika.asanteni
wenu
shrzy