Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Moscow kumekucha...Ni usiku wa marahaaa, Mwana FA Live in Moscow

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Bingwa wa Mitikasi Mr. Kihiga, Mzee wa starehe Bw. Biboze na Mzee wa kuspend Mr. Kapilima pamoja na THE THOMCOM wamekuandalia usiku wa kukata na shoka, siku ya kuspend, siku ya kustarehe, siku ya kurusha roho, Mademu kibao, magentlemen wakunata, Ma-Dj maarufu pamoja na show toka kwa Msanii machachari nchini Mwana FA ndani ya jiji la Moscow. Wapi na kwa namna gani, BOFYA HAPA Usikose uhondo huu, tonge liko mdomoni mwako, uko tayari kumwachia mpita njia alitafune badala yako?...acha hizoooooo....fika ujionee mwenyewe..Kwa maelezo zaidi BOFYA HAPA Ahahahahaaaa...Kwa mara ya Kwanza ndani ya jiji la Maraha kabisa, МОСКВА РОССИЯ 2009
Tags:

8 comments

  1. Anonymous says:

    hi
    ndiyo thomcom tunakufagilia sana kwa kutupatia habari njema km hizi kwa sisi watu wa moscow nimefurahi sana kumpata live huye msani machachari anayetamba ktk safu ya bongo flavo. TUTATIMBA USIJALI MI PAMOJA NA SHEMEJI WAKO WA KIRUSI????? POA MAN.

  2. Anonymous says:

    Du Uh! Kweli? Basi Moscow Tunatisha Hongereni sana The thomcom na Masela Wangu Mr. Biboze,Kihiga na Kapilima Mzee wa congolee tutafurahi sana km mtatuletea na wasanii wengine wanaotamba bongo ili tuondoe stress za warusi!! BIG UP

  3. Anonymous says:

    Poa man tutatimba sana tu usijali ila tuambie ni sehemu gani itafanyika na utaratibu wa ticket unakuwaje? big up the hustlers entertainment!

  4. Anonymous says:

    Duh! wabongo tunatisha! Wakameruni,wanaigeria,wokongo,wangola nk watatukoma mwaka huu......
    mosow hoyeeeeeeee

  5. Anonymous says:

    Captein Jacka unatisha naona umeamua kuwafurahisha vijana wako wa moscow? hayo ndiyo mambo yanayo takiwa maisha yenyewe ni mafupi na pesa hazishi! tanzanian embassy of russia hoyeeeee.....

  6. Anonymous says:

    The huslers ndiyo nani? anyway big up sana kwa kutusaidia kwa hilo.

  7. Anonymous says:

    WIZI MTUPUUUUUUUU+ UTAPELI

  8. Anonymous says:

    du nimewakubali maze alafu uyo jamaa namfagilia kishenzi du patakuwa apatoshiiiii

Post a Comment