Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - YEYOTE AMBAYE HATAKI WATU WAJUE KUWA ANASOMA RUSSIA, BASI AONGEE NA MAMA KIBAYA AMRUDISHE HOME.....

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Imekuwa ni kawaida kwa vyombo mbalimbali vya habari kukandamiza habari mbalimbali na kuanika picha mbalimbali za watu mbalimbali. Pia imekuwa ni kama kawaida kwa watu ambao habari zao zinakandamizwa kuja juu au kujiona wanaonewa. katika kitengo cha COMMUNITY IN RUSSIAN FEDERATION ambapo kuna picha zinazoonesha matukio mbalimbali zikiwemo za mh. naibu waziri na wengine kimeonekana kumkera mdau mmoja ( anaishi bl. 9) kwa kiasi kikubwa. Inabidi kukubali kuwa tupo hapa, na sisi ndio baadhi ya community ya wanafunzi tunaoishi hapa. kwa ambaye anapingana na ukweli huo anashauriwa kutoendelea kuishi hapa. Katika jamii yoyote ni lazima habari zikandamizwe na zitaendelea kukandamizwa kwa misingi ya UHURU WA VYOMBO VYA HABARI. hivyo wadau wote msikatike, habari zitakandamizwa, na kwa kasi ya kufa mtu. NEW.... ITAZINDULIWA PROGRAM MPYA KATIKA HII GLOB AMBAPO KILA WEEKEND (JUMAMOSI) THE THOMCOM ITACHAMBUA WATU MBALIMBALI WANAOISHI HAPA RUSSIA. FORUM itajulikana kama MJUE MDAU HUYU......
Tags:

0 comments

Post a Comment