Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - wakati NATO wanafanya luteka ya kijeshi black sea, RUSSIA yafanya majaribio ya makombora ya masafa marefu

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Urusi imetangaza kufanya jaribio la kurusha makombora ya masafa ya mbali yaitwayo Topol na wachunguzi wa mambo wanasema hayo ni makombora ya kisasa zaidi katika karne hii ya ishirini na moja. majaribio hayo yanakuja sambamba na luteka kubwa ya kijeshi inayofanywa na NATO katika bahari nyeusi. hali hii imeongeza hali ya wasiwasi duniani kote kuhofia kulipuka vita ya tatu ya dunia...
Tags:

0 comments

Post a Comment