Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA KITAIFA , HABARI ZA LEO - Press Conference yahairishwa!

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Press Conference iliyopangwa kufanyika leo tarehe 17 Juni, 2011
katika Ofisi za Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu imepangwa
kufanyika kesho tarehe 18 Juni, 2011 saa 4.00 asubuhi wale wote waliotaarifiwa kuhudhuria Press Conference ya Leo mnaombwa kuhudhuria kesho tarehe 18 Juni, 2011saa 4.00 asubuhi.


Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.


Ahsante na kazi njema.


Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.


17 Juni, 2011

0 comments

Post a Comment