- Katibu Mkuu mpya wa CCM Mh. Wilson Mkama
- Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM (Bara) Mh. John Chiligati
- Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai
- Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM taifa Nape Moses Nnauye
- Mweka Hazina mpya wa CCM Taifa Mwigulu Lameck Nchemba
- Katibu Organaizesheni wa NEC Bi Asha Abdullah Juma
- Katibu wa Siasa na Mambo ya Nje wa CCM Mh. January Makamba
Wanachama wa CCM waliochaguliwa leo kuunda sekrtarieti mpya. Toka shoto ni Mweka Hazina mpya wa CCM Taifa Mwigulu Lameck Nchemba, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM taifa Nape Moses Nnauye, Katibu Organaizesheni wa NEC Bi Asha Abdullah Juma, Naibu Katibu mkuu CCM Zanzibar vuai Ali Vuai na January
WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU
- Anna Abdallah
- Peter Kisumo
- Mwigulu Nchemba
- Januari Makamba
- Ally Juma Shamhuna
- Wilson Mukama
- Emmanuel Nchimbi.
WANAOINGIA KAMATI KUU
- Pindi Chana
- Abdulrahman Kinana
- Zakhia Hamdan Meghji
- Abdallah Kigoda
- Steven Wassira
- Costansia Buhiye
- William Lukuvi
- Dk. Hussein Ali Mwinyi
- Dk. Maua Daftari
- Samia Suluhu
- Shanmsi Vuai Nahodha
- Omary Yusuf Mzee
- Prof. Makame Mbarawa
- Mohamed Seif Khatibu
No comments:
Post a Comment