Arsenal SOLD
Billionea Mmarekani Stan Kroenke ameinunua klabu ya Arsenal kwa pauni 731. Habari zinasema wapenzi wamefurahi kwamba wanja la Emirates sasa limepata mtu wa uhakika ambaye kabla ya hapo ndiye alikuwa anashika hisa nyingi kuliko wote klabuni hapo.
No comments:
Post a Comment