Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Remmy Ongala Afariki Dunia

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter

Dk. Remmy Ongala enzi za uhai wake.
Mwanamuziki mkongwe nchini, Dk. Remmy Ongala amefariki dunia jijini Dar es Salaam leo.
Habari za awali zilizofikia mtandao huu zinasema Dk. Remmy alikata roho akiwa nyumbani kwake usiku saa nane na robo kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya kisukari. Mwili wa marehemu umepelekwa kuhifadhiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na mipango ya mazishi bado haijajulikana.
Kwa habari zaidi usikose kusoma gazeti la Uwazi kesho.

Tags:

0 comments

Post a Comment