You Are Here:
Home -
-
Fw: JK akabidhiwa Kombe la Chalenji
Fw: JK akabidhiwa Kombe la Chalenji
Posted by B.M.T on Monday, December 13, 2010 //
0
comments
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
Nahodha wa Timu ya Taifa Tanzania Bara (Kili Stars) Shadrack Nsajigwa akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete, Kombe la Chalenji Ikulu jijini Dar leo baada ya timu hiyo kuibuka Bingwa wa michuano ya Chalenji jana. Pembeni yake ni Mama Salma Kikwete na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Dr. Emmanuel Nchimbi.
JK akiwa katika picha ya pamoja na kikosi kizima cha Timu ya Kili Stars Ikulu jijini Dar es Salam leo mchana. |
Tags:
0 comments