Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Hii ndo tofauti kati ya Maskini na Matajiri Tanzania

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter

Mbunge wa Jimbo la Mvomero Mh. Amos Makalla akitoa pole kwa mjane aliyepoteza mume kwa mafuriko yaliyofuatia mvua kubwa iliyonyesha Novemba 11, mwaka huu Kata ya Bunduki , Tarafa ya Mgeta, Wilaya ya Mvomero, Hebu mlinganishe bibi huyu na wengine waliokuja hapo


Hebu mlinganishe bibi huyu na wengine waliokuja hapo

Hebu mlinganishe mzee huyu na wengine waliokuja hapo. cheki pia miguuni



Mzee anachanja mawe huku akiwa peku ila waheshimiwa hata wakiwa wamevaa viatu vyao wanachechemea

Mzee anachanja mawe huku akiwa peku ila waheshimiwa hata wakiwa wamevaa viatu vyao wanachechemea


WE ARE VERY UNEQUAL
Tags:

0 comments

Post a Comment