You Are Here:
Home -
-
Augustino Lyatonga Mrema Na Freeman Mbowe Warudi Bungeni
Augustino Lyatonga Mrema Na Freeman Mbowe Warudi Bungeni
Posted by B.M.T on Monday, November 01, 2010 //
0
comments
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe
ameshinda uchaguzi Jimbo la Hai na kurejea bungeni tena
kama mbunge baada ya kuwa nje kwa miaka mitano
Mwenyekiti wa TLP Mh. Augustino Lyatonga Mrema akishangiliwa na wafuasi wake wakati wa kampeni. Leo ametangazwa kuwa Mbunge mteule wa Jimbo la Vunjo baada ya kushinda kwenye kinyang'anyiro cha kiti hicho baada ya kukaa nje kwa muongo mmoja
Tags:
0 comments