You Are Here: Home - - Mnuso Moscow Kumpongeza Mh. Jakaya Kikwete, Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
Wanachama wote wa CCM Tawi la Moscow Mnaarifiwa kuwa ule mnuso uliotakiwa ufanyike hii leo jumamosi tarehe 20/11/2010 umeahirishwa hadi wiki ijayo tarehe 27/11/2010 kutokana na sababu mbazo hazikuweza kuzuilika. mnaombwa radhi kwa usumbufu wowote...
0 comments