Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Upinzani Kyrgystan wataka viongozi wazuiwe

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Viongozi wa upinzani nchini Krgyzstan wamewaomba wananchi kujitokeza kuwazuia viongozi wa serikali kutoroka nchini humo baada ya kutangaza mapinduzi.
Hatua ya kupindua serikali ilitokea jana kufuatia maandamano makubwa na ghasia zilizokumba taifa hilo la bara Asia.

Viongozi hao hasa wanamsaka Rais Kurmanbek Bakiyev, ambaye wanasema anajaribu kukandamiza upinzani.

Aidha viongozi hao wamesema watasalia madarakani kwa muda wa miezi sita ili kuweza kuudwa katiba mpya. .

Hata hivyo Kiongozi wa serikali ya mda Roza Otunbayeva amemtaka rais Bakiyev ajiuzulu.
Tags:

0 comments

Post a Comment