Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA KITAIFA , HABARI ZA LEO - Nyumba za Kambi ya Jeshi Lugalo Zaungua Moto

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Wananchi wakijaribu kuokoa mali zao huku wanajeshi wakizima moto uliozikumba nyumba za kambi ya Jeshi ya Lugalo leo kutokana na hitilafu ya umeme.
Wanajeshi wakiendelea kuzima moto huo.
...Wanajeshi wakifanya kazi kwa ushirikiano wa karibu kabisa kuokoa mali za watu.
...Wanajeshi wakiendelea kuzima moto zaidi kunusuru mali na maisha ya wakazi eneo hilo.

Habari kwa hisani ya Global Publishers

0 comments

Post a Comment