Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA KIMATAIFA , HABARI ZA LEO - Siku ya Tembo yafana Thailand. Watengewa MENU ya kufa mtu

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Wakazi wa nchi ya Thailand wakifurahia pamoja na tembo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Tembo.
ILI kuonyesha kuwa wanawajali sana wanyama hawa, wakazi wa nchi ya Thailand huadhimisha Siku ya Tembo ambapo tembo hulishwa miwa, matunda na majani ya migomba katika kambi za kufuga wanyama hao.
Tembo wanatambulika kuwa wanyama wa taifa nchini Thailand na maadhimisho hayo yanaheshimika na hufanyika machi 13 kila mwaka.
Zifuatazo ni baadhi ya picha za mojawapo ya maadhimisho
0 comments

Post a Comment