Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA LEO , HABARI ZA MICHEZO - Man United yaichapa Barca 2-1 mechi ya kirafiki

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter TIMU ya Manchester United jana iliibuka kidedea kwa kuifunga Barcelona katika mchezo wa kirafiki uliopigwa katika Uwanja wa FedEx mjini Washington DC. Magoli ya Man U yaliwekwa kimiani na Nani (22), Owen (76) wakati la Barcelona likifungwa na Thiago (70).
Wachezaji wa Timu ya Barcelona wakishangilia kuifunga Man U na kutwaa ubingwa wa Club bingwa barani Ulaya. MAN U imelipa kisasi hicho

0 comments

Post a Comment