Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA KITAIFA , HABARI ZA LEO - KESI YA WALIOMMIMINIA RISASI MKE WA DK. SLAA YAENDELEA LEO

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
WASHTAKIWA WAKIRUDI MAHABUSU

Washitakiwa wanne wa kesi ya ujambazi wanaodaiwa kummiminia risasi, Josephine Slaa, ambaye ni mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk. Willbroad Slaa, leo wamepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar, ambapo kesi yao imepigwa kalenda mpaka Septemba 5 mwaka huu kutokana na upelelezi kutokamilika. Washitakiwa wamerudishwa mahabusu baada ya kuendelea kunyimwa dhamana.

0 comments

Post a Comment