Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA KITAIFA , HABARI ZA LEO - Ulishaona hiyo? mbado!!

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Waandisi watueleze utaalamu uliotumika hapo!
JE, umewahi kuona bilula “inayotema” maji bila kuliona bomba lake linakotokea?


Maajabu hayo yako sehemu inayoitwa Aqualand, Hispania, ni moja ya vivutio vikubwa duniani ambapo watu hufurika kwenda kushangaa. Ni kivutio cha utalii.


Dude hilo ni kubwa na refu kwenda juu ambalo “hutema” maji kwa wingi kama vile yafanyavyo mabomba makubwa, kwa mfano, jijini Dar es Salaam, ambayo hunyonya maji kutoka Mto Ruvu ulioko mkoani Pwani.


WADAU TUPENI INTEL ILIYOTUMIKA

0 comments

Post a Comment