Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Zitto adai amelishwa sumu

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Image
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Kabwe Zitto, akipatiwa kipimo na Muuguzi, Flora John,wa Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam ambako amelazwa baada ya afya kuzorota ghafla. 
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ambaye jana aliruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar es Salaam alikolazwa kwa matibabu ya tumbo amedai kuwa matatizo hayo aliyapata baada ya kula chakula chenye sumu.“Namshukuru Mungu naendelea vizuri na nimesharuhusiwa kutoka hospitali, Endelea Kusoma habari hii...
Tags:

0 comments

Post a Comment