Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - CHADEMA wapiga kura ya kutokuwa na Imani na Zitto Kabwe

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Image
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Kabwe Zitto, akipatiwa kipimo na Muuguzi, Flora John,wa Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam ambako amelazwa baada ya afya kuzorota ghafla. 
KAMA ilivyotarajiwa na wengi, mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chadema, Zitto Kabwe amevuliwa wadhifa wake wa unaibu kiongozi wa upinzani bungeni, lakini chama hicho 'kikapigwa jeki' baada ya mfanyabiashara maarufu, Mustafa Sabodo kukipa Sh150 milioni kwa ajili ya kujenga chuo cha maadili ya uongozi.

Matukio hayo mawili pia yaliambatana na kuugua ghafla kwa Zitto na makamu mwenyekiti wa Chadema, Said Amur Arfi ambao wamelazwa Hospitali ya Aga Khan kwa matatizo tofauti... Soma habari Kamili
Tags:

0 comments

Post a Comment