Ndugu WATANZANIA, na wanahabari naandika mail hii nikijua wengi enu wamiliki wa vyombo vya habari hapa nchini ni wawakilishi wa makampuni ya Kenya yanayomiliki vyombo mnavyofanyia kazi na wachache wa vyombo vya hapa ambavyo havina nguvu kama vile vya jirani kwani mnaogopa kufutiwa lesni zenu kama yaliyowakuta wenzenu waliowatangulia.
Kwa masikitiko kabisa nimekuwa nikiangalia mustakabali wa nchi yetu na leo naandika haya.
NIANGALIAPO MADUKANI MWETU KUMEJAA BIDHAA ZA NCHI JIRANI YA KENYA NA ZINAUZWA KWA BEI ILEILE SAWA SAWA NA BIDHAA ZETU HATA PIA ZAWEZA KUA NI ARAHISI ZAIDI. MAKAMPUNU YA ULINZI YA KENYA SASA YANAZIDI KUIMARIKA KTK KUTULINDIA NYUMA ZA MABALOZI,MIGONI NYUMBA ZETU NA TAASISI ZINGINE. MGARI YAO YANATUSAFIRISHIA FEDHA ZETU, VYOMBO VYA HABARI VIKUBWA VYA KENYA VINATUANDIKIA/KUONYESHA HABARI NA KUTANGAZA BIASHARA ZETU NA ZA KWAO ZAIDI,MAKAMPUNI YA SIMU YALIYOPO YANAENDESHWA KUTOKEA NAIROBI. WAMEJAA MAOFININI MWETU MASHULENI MWETU YANI WANATUFUNDISHIA WATOTO WETU TENA WALIMU WAO NI WALE WALIOFELI KWAO AMBAO SISI TUNAWAONA BORA SAIBABU YA KINGEREZA NA HIVYO KUPELEKEA WASITOE ELIMU BORA KWA WATOTO WETU.
BENKI ZAO ZINAZIDI KUPANUKA HAPA NCHINI WAKATI SISI HATA MOJA HAKUNA UKIENA KWAO. HAPA NAZUNGUMZIA BACLEYS/KCB NASTANDARD AMBAZO ZOTE ZINAENDESHWA KUTOKEA NAIROBI.
TUKIJA KWENYE UTALII NDIO MACHUNGU YA KUTISHA. MGENI ANAYEKUJA TANZANIA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO AU KWENDA MBUGANI,KUONA VIVUTIO MBALIMBALI VYA TANZANIA ANAONA NI NAFUU KUTUMIA MAKAMPUNU YA KENYA NA KUPITIA UWANJA WA JOMOKENYATA PALE NAIROBI KULIKO MAKAMPUNU YA TANZANIA KWANI NI GHARAMA ZAIDI. NIMEJARIBU KUWAULIZA WENGI NA JIBU WALILONIPA NI KUWA GHARAMA ZA NDEGE KUTUA KIA AU DAR NI GHALI NA HIVYO WANAONA NAFUU KUPITIA NAIROBI ALAFU WAKODISHE GARI KUJA HAPA NCHINI KWETU WAKIWA WAMEOKOA KIASI KIKUBWA SANA CHA FEDHA.
NDUGU ZANGU WATANZANIA, LA KUJIULIZA HAPA NI KWAMBA INAKUWAJE VIWANJA VYETU VYA NDEGE VIWE GHALI,MAKAMPUNI YETU YA UTALII YAWE NA GHARAMA KUBWA, MDUKAYETU YAJAE BIDHAA ZA NCHI JIRANI TENA ZILEZILE ZENYE UBORA NA ZINAZOZALISHWA HAPA NA MKAMPUNI YA WAZAWA LAKINI BEI ZIWE SAWA. HABARI ZETU ZITEGEMEA JIRANI ATUANDKIE ZA NDANI YA NCHI YETU? HAPA USALAMA WETU UTAKUWA WAPI? FEDHA ZETU PIA WAZIENDESHE WAO PATO LA TAIFA LITAPATIKANAJE?
KUNA NINI SERIKALI INAFUMBIA MACHO? UU NDIO YALE NYERERE ALIYOYAKATAA NA KUVUNJA MUUNGANO KWA SABABU HAKUONA FAIDA ZAIDI YA KUMEZWA KIUCHUMI WAKATI SOKO LA WALAJI EAST-AFRICA NI TANZANIA?
HAWA VIONGOZI WETU WANANUFAIKA NA NINI KWA KUKAA KIMIA NAKUZIDI KUWEKA VIKWAZO KWA MAKAMPUNI YA NDANI NA YANI KODI ZINAZOTOA MWANYA WA MAKAMPUNI YA NJE KUFANYA BIASHARA NZURI KULIKO YA NNDANI?
NA JE SERIKALI HIJUI KUWA TAYARI KUNA ATHARI YA KUWAFANYA WATAMZANIA VIBARUA WA NCHI JIRANI IKWAPO SISI KAZI YETU NI KUFANYA VIBARUA ILITUNUNUE BIDHAA ZAO?
MBONA HLI SILISIKII HATA MGOMBEA MMOJA AKILIONGELEA? KUNA NINI WATATUFAAJE IWAPO HAWALINDI MASLAHI YA TAIFA LETU?
NASEMA WATANZANIA TUAMKE KWANI KIZAZI CHETU KIMEPOTEZA MWELEKEO HASA KWA HAWA VIONGOZI WENYE TAMMA,MAFISADI NA WANAOIUZA NCHIYETU KWA KIGEZO CHA AMANI NA KUDHAIA BADO SISI NI WADANGANYIKA. NYERERE ALILIONA HILI NDIO MAANA HAKUUPENDA MUUNGANO KWANI ALIJUA ATAHIR ZAKE.
WAMEKUJA HAWA WEMEUZA NA KUBATILISHA KILA KITU BAADA YA KUFARIKI BABA WA TAIFA.
NAOMBA YEYOTE MWENYE KUWEZA KUNISAIDIA KUTAFUTIA WANASHERIA WATAKAOWEZA KUNISAIDIA KUISHITAKI SERIKALI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA KUDHOOFISHA UCHUMI WETU NA KUIHUJUMU JAMHURI YETU.
YEYOTE ATEKENINGA MKONO TUENDESHEHII MOVEMENT TUFUNGE MKANDA TUPAMBANE KUIKOMBOA NCHI YETU.
MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFIKA

MAONI YA MSOMAJI NA GODLOVE MSHANA
Comment
- Comment by Salum Abdullah Ahmeid 13 hours ago
- NDUGU YANGU KWANZA HONGERA KWA GLOBAL KUIWEKA HABARI YAKO SABABU SABABU HAWA JAMAA MIMI NILIANDIKA HABARI VIONGOZI MATAPELI WANAOTAPELI VIWANJA NA KUWAFANYIA UHALIFU WANANCHI WANYONGE BILA KUPITA MKONDO WA SHERIA NA VIONGOZI WENZAO KUWAFUMBIA MACHO SABABU NA WAO WANAPATA CHAO! MIMI NIKIWA MTANZANIA NINAE ISHI NJE NINAYAONA HAYO KULIKONI WATANZANIA WANAOISHI NYUMBANI SABABU MIMI MWENYEWE SASA HIVI NIKITAKA KUJA NYUMBANI SIIONI DIRECTION YA KUJA NYUMBANI MOJA KWA MOJA LAZIMA NIPITIE KENYA SABABU HAWA WATU WALIVYOKUWA MAHODARI KUTANGAZA UCHUMI WAO NA USIOKUWA WAKWAO!HAYO ULIYOYAANDIKA HAPO JUU YOTE NI SAHIHI ULISAHAU MASHAMBA YOTE YA WATANZANIA YAMECHUKULIWA NA WAKENYA SASA NA MAKAMPUNI YA KUSAFIRISHIA PESA NIKWELI WAKENYA NDIO WANASAFIRISHA HIZI PESA NA NDIO MAANA UJAMBAZI UNAPITA SABABU HAWANA UCHUNGU WOWOTE NA UCHUMI WA WAWATANZANIA!BAADA YA WAKENYA KUINGIA TANZANIA KIRAHISI NCHINI KWETU NA WARUNDI,WANYARUNDWA UJAMBAZI UMEZIDI SANA NA WANAUWA KIRAHISI SANA!ZAMANI JAMBAZI WA TANZANIA ANATISHA TU LAKINI SASA HIVI WAMEFUNDISHWA KUUWA NA MAJAMBAZI KUTOKA NCHI ZA JIRANI! NA KUHUSU VIONGOZI WETU UNAFIKIRI KWANINI HUWA WANAKAA KIMYA?NI KWA SABABU WAKO NA PERSENT ZAO KWENYE KILA KAMPUNI ZA KENYA NDUGU YANGU!NILIPOANZA KUFIKA HUKU UGHIBUNI WAZUNGU WALIKUWA WANANIAMBIA MLIMA WAKILIMANJARO UKO KENYA NILIKUWA NINABISHA LAKINI WALIKUWA WANANIPA USHAHIDI WAKIMAKARATASI NILIKUWA SINA LAKUSEMA! MUNGU IBARIKI TANZANIA!WATANZANIA AMKENI POPOTE MLIPO! REVOLUTION WILL NEVER COME EASEY!!!!
- Comment by ali 13 hours ago
- Ndugu mtoa mada hii umeona mbali sana na umenigusa katika fani yangu kidogo hii ya UTALII, yote uliyoyaeleza ni kweli kabisa na chaajabu sana nikuwa wakubwa wa nchi hii yote hayo wanayajuwa na wanayafumbia macho kwani wao maslahi yao yanakwenda vizuri sana, sasa basi hili la mlima kilimanjaro wakenya kuutangazia kuwa ni wao ni jambo la siku nyingi sana na balozi zetu zilizoko nje ya nchi wanaona kwenye tv za ulaya na kuyachekea tu ...hapa nakusudia kama wao tangazo kama hilo linapotolewa na tv za ulaya na wao wako pale pale wanayohaki ya ile tv kuishitaki kisheria kutangaza kitu ambacho sicho jengine binafsi mara moja nilibahatika kwenda nje ili kutafuta watalii kuja nao tanzania na katika safari zangu nilipitia ubalozi mdogo wa tanzania ulioko rotterdam HOLLAND , kwa mshangao mkubwa sana nilipofika hapo sikumkuta hata mtu mmoja mweusi mwenye asili ya tanzania wote ni wazungu.....sasa nilishangaa sana mimi ule ubalozi mdogo kuona hakuna mtanzania sasa najiuliza je ni watanzania wote wanaozungumza english ...kwa maana je mtanzania atakekwenda pale kama anamatatizo atasaidiwa kwa lugha gani huu ni uzembe wa hali ya juu sana kwani unapoona bendera ya tanzania inapepea wewe unategemea kumkuta mtu mweusi ndani ya ofisi hio na anaezungumza kiswahili pindipo kama una shida wewe mtanzania hata kama kiubinaadamu anaweza akakusaidia kwa kujuwa kuwa wewe ni mtanzania mwenzake jengine tukija hapa nyumbani nimekuja na wageni wangu mpaka dar tulitoka vizuri hapa air port na siku ta tatu yake tukataka kuenda zanzibar kwa kutumia boti ...cha ajabu na chakunishangaza wakati mimi nakata hizo ticket za boti mimi waliniruhusu nikate kwa tsh ila mzungu lazima alipe usd.... kitu ambacho ni chakijinga sana kwani hapa hata wale wazungu waliniuliza nikakosa jibu na bahati mbaya zaidi hata zile ticket zao wao zina rangi maalumu tafauti na ile ya kwangu mimi sasa hii sikubaliani nayo mimi kwani huu ni UBAGUZI kwani sisi watanzania tunapokuwa nje ya nchi au ulaya mbona tunatumia sarafu ile ile wanayotumia wenyeji wetu zaidi ya hayo sasa kwanini ukatae kuchukuwa tsh wakati ndio pesa yetu hapa nchini nilifika zanzibar salama na wageni na siku moja nilitaka kuwapeleka wageni wangu katika kisiwa cha prison ieland hakiko mbali sana na bandari ya zanzibar tulichukuwa boti ndogo ya kawaida nikaenda nao kule wakati tunafika wakanikatalia wageni wangu kuingia kwenye hicho kisiwa kama sijawalipia usd .....sasa mimi najiuliza kwanini iwe hivi na kwanini wakatae tsh ......sasa basi masuala kama haya na mabishano haya yanafanya wageni au wazungu kurudi nyuma sana kwani hawa watu wanapoingia pale dar air port wanakuwa tayari wao washabadilisha pesa zao za kigeni na washapewa pesa ya kitanzania sasa vipi leo utamkatalia kulipia kwa tsh na kwanini ulimpa tsh pale air port kwa mara ya kwanza alipoingia nchini watanzania lazima tuangalie haya kwani nnavyojuwa mimi kuna nchi nyingi sana za kiafrika kuvutia wazungu nchini kwao waingie hata visa za hizo nchi ni FREE WAKATI sisi visa hapa kwetu ni usd 50 ....na tujue kuwa kwa mzungu usd 50 ni kubwa sana kwake kuitowa sasa sisi tunakila kitu katika nchi hii ila bado hatujajuwa namna gani ya kuimarisha soko la utalii na kuweza kuwapita hawa wenzetu wa kenya yaani mungu katupa kila kitu ni sisi wenyewe na viongozi wetu ambao hawajaonesha kabisa kuitakia mema nchi hii na watanzania waliowanyonge kama mimi na wengine wengi sana kama tutazitumia fursa tulizonazo sisi watanzania basi wengi wetu watapata ajira hapa kwetu, na ukiangalia hapo sheli sheli tu uchumi wao mkubwa sana ni utalii tu ila jiulize wewe ulie ndani ya nchi hii na nje ya tanzania je umeshawahi kumuona mshelisheli akitafuta maisha nje ya nchi yake anaridhika kabisa na anachokitapa kwao kwani wale watu kama hawana kazi wanalipwa kama ULAYA sasa sisi watanzania na kiongozi unaona mlima kilimanjaro unanadishwa kuwa uko kenya ....wewe unacheka nini unategemea ....na jaribu hapa tanzania useme RUUD GULLIT ni mjerumani uone kesho yake unavyotakiwa ujieleza kama ni gazeti au tv ...na huyu ni mtu mmoja tu huweizi kulinganisha na kitu rasilimali ya watanzania wote kama huu mlima wetu inaumiza sana kuona hawa tunaowata viongozi hawayapi umuhimu wowote ule, na hujiuliza hawa viongozi wanapokwenda nchi za nje huwa hawaoni huko kwa wenzetu au hawasomi kwani inaweza kuwa hujui ila kubali usome na ndio lengo ili utuletee maendeleo hapa nchini kwetu au huwa wanakwenda nje kuangalia biashara zao tu binafsi
- Comment by John Raphael 14 hours ago
- ulipoanza kusema "watanzania tuamke..." nimekubaliana na wewe. Mipaka ya east africa ikifunguliwa si wakenya tu hata waganda watakuja bongo kwa fujo. Kwa taarifa yako waganga ni wachacharikaji zaidi kuliko wakenya. hii ni dunia wa utandawazi "survival of the fittest" usitegemee sana serikali ikusaidie, jisaidie mwenyewe. ni kama mechi tayarisha timu yako vizuri usitegemee refa (serikani) ikusaidie. Kama serikali nayo ikimenzwa na watu wa nje na watu wakishtuka, labda wataingia mstuni kupigania haki yao na kurudisha tanzania wanayoitaka. Haya mambo yanatokea nchi nyingine na bongo yanaweza tokea. kwa sasa wewe kuwa tayari kwa ushindani kivyako
- Comment by Isack Habil Kihoro 14 hours ago
- Godlove, well done, maoni yako hakika yanatia uchungu, hakuna uwiano harisi wa uwekezaji katika nchi za jumuiya ya Afrika mashariki, uchumi wa kenya ni mzuri zaidi hivyo kuwafanya wakenya wengi kujiamini na hata kuhitaji masoko zaidi nje ya nchi ya kenya, hivyo kuwekeza Tanzania zaidi(kwani ina watu wengi pia wanaohitajika baada ya kukua kwa masoko yao), Kuna mengi ya kutafakari, Serikali haijakuwa wazi zaidi kwa nini wakenya watawale kila sector hata ajira ambazo hazihitaji wasomi waliobobea sasa zinachukuliwa na wakenya, ukienda katika hotel zetu nyingi hasa za ufukweni na hata nyumbani zanzibar utawakuta wale wapokea wageni na hata watoa huduma(waiters)wengi wao ni wa kutoka kenya, why??? utajibiwa wanaweza wakaribisha wageni kwa kimombo !!!, naiona hii kama dharau kwa watanzania hata kwa mfumo mzima wa elimu yetu, najiuliza kwani wale waTz wanaosoma utalii College na vyuo vingine hawawezi wakalibisha wgeni kwa kiingereza??, Kuna haja ya Serikali kuwa tayari kuwaeleza watanzania kinagaubaga juu ya mpango mzima uliochangia kupolomoka kwa uchumi wa nchii hii na kuwapelekea watanzania kuwa masikini wa kutupwa,
Tags:
You need to be a member of Global Publishers to add comments!