Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Mpango wa kuhakiki matokeo ya wanafunzi kabla ya kupewa mikopo ni ukiukaji wa haki za binaadamu

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Imezuka tetesi kuwa bodi ya Mikopo ya eliu ya juu imeandaa utaratibu wa kuhakiki matokeo ya wanafunzi wa elimu ya juu kabla ya kupatiwa mikopo yao! mpango huo sio endelevu na ni ukiukaji wa haki za binadamu kwa kuwa wanafunzi wote wanahitaji haki sawa ikiwa ni A+ au 3- ili mradi ameweza kufanya mitihani yake na kuweza kufaulu (PASS) ndio maana alama hizo zipo na zinakubalika! Mpango huo unasadikika kuchochewa kisisasa zaidi na una lengo la makusudi la kupunguza idadi ya wanafunzi waliobaatika kupata elimu yao nje ya nchi. .... makala zaidi usikose muda mfupi ujao!)
Tags:

0 comments

Post a Comment