Poland ipo katika majonzi makubwa, tangu wawili hao na viongozi wengine kadha wa kisiasa na kijeshi kufariki dunia kwenye ajali ya ndege mji wa Smolenski mashariki mwa Urusi siku ya Jumamosi.
Bunge la Poland linatarajiwa kufanya kikao kujadili ajali hiyo.
Mwili wa Rais Kaczynski ulirejeshwa Poland siku ya Jumapili na ibada ya mazishi yake itafanyika Jumamosi na atazikwa Jumapili ijayo.

0 comments