Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Muswada wa katiba mpya wapitishwa Kenya

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter

Muswada wa katiba mpya wapitishwa Kenya

 

Mahakama za kadhi zajumulishwa kwenye katiba mpya

 
Bunge la Kenya limepitisha muswada wa katiba mpya ya nchi hiyo, huku viongozi wa Kanisa wakielezea upinzani wao kuhusu yaliomo ndani ya katiba hiyo.
Grace Kabogo alizungumza na wakili na mhadhiri kwenye Chuo Kikuu cha Nairobi katika kitivo cha sheria, Dr. Patrick Lumumba kwanza anaelezea mtazamo wake juu ya mswaada huo.
Tags:

0 comments

Post a Comment