You Are Here: Home - - Breaking News Boom Kuongezeka mwaka huu
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
Taarifa zilizoifikia Globu hii ya Jamii na Kudhibitishwa na Ubalozi wa Tanzania Moscow zinasema kuwa Fedha ya kujikimu kwa wanafuzi wanaosoma nje ya nchi imeongezwa kufikia doal za kimarekani 8600 kwa mwaka. hii ni habari njema kwa wanafunzi hao hasa wale wanaosoma mashariki ya mbali na Urusi kwa sababu maisha ya huko yanapanda siku hadi siku. Akizungumza na Globu hii ya Jamii, Mh. Kajogoo alisema kuwa boom hilo limeongezwa kutokana na mapendekezo yaliyotolewa kwa Bodi hiyo na Balozi wa Tanzania Mh. Capt. Mstaafu Jaka Mwambi pamoja na maoni ya Mh. Waziri wa Uchumi wa Tanzania aliyeitembelea Moscow Mapema mwaka huu.
0 comments