You Are Here:
Home -
-
Tanesco yamzidi akili Kakobe
Tanesco yamzidi akili Kakobe
Posted by B.M.T on Friday, March 19, 2010 //
0
comments
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
 |
Polisi wakiangalia uondoaji wa mabango uliokuwa ukifanywa na Tanesco kwa kushirikiana na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Dar es Salaam baada notisi yakuondoa kwa hiyari mabango hayo marefu ya Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship la Mchungaji Zachari Kakobe kumalizika bila utekelezaji. Mabango hayo yalikuwa katika njia mpya ya kupitisha umeme mkubwa kando ya barabara ya Sam Nujoma jana |
Tags:
0 comments