Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Maalim Seif ajitokeza "sijafa"

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Image

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi(CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na waandishi wa habari katika hospitali ya Hindu Mandal,Dar es Salaam alikolazwa kwa matibabu.Taarifa kutoka kwa madaktari wanaomhudumia zinasema anasumbuliwa na shinikizo la damu na kwa sasa hali yake inaendelea vizur
Tags:

0 comments

Post a Comment