Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Miaka 50 ya PFUR

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Kutokana na mawasiliano ya MMS, WAP na GPRS kuthibitiwa ndani ya RED HOUSE (ikulu), globu hii haikuweza kubrekisha live sherehe za Jubilee ya miaka 50 ya kuzaliwa kwa Peoples Friendship University of Russia, sherehe iliyofanyika ikulu Moscow Russia leo. Lakini hata hivyo ndugu msomaji usikonde mwanangu. Pata burudani namna hiyo burudani..


Katikati ni Peter Mziray Mw. wa Chama cha Upinzani Tanzania (Progressive Party of Tanzania–PPT Maendeleo) katika sherehe hizo ambapo Mziray ni Mmoja wa Wahitimu waliohitimu elimu yao ya Degree chuoni hapo

Wadau wakiwa katika pozi



Tags:

0 comments

Post a Comment