Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Leo Katika Bunge. Mh. spikaaaaaaaa.....

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
RICHMOND, KIWIRA KUWASILISHWA LEO
Bunge la Tanzania.

Leo Bunge litapokea taarifa ya utekelezaji wa maazimio ya Bunge kuhusu zabuni ya kufua umeme wa dharura ya Richmond, mgodi wa makaa ya Mawe wa Kiwira na hoja binafsi ya kiongozi wa kambi ya upinzania bungeni, Hamad Rashid Mohamed.Kamati ya bunge yatoa taarifa yake kuhusu Richmond
 Wabunge waonekana kukubaliana nayo


AKITOA taarifa kuhusu kashfa ya Richmond, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Madini na Nishati, Mhe. William Shelukindo (CCM) alielezea kwa jumla hatua ambazo zimetekelezwa na serikali kuhusu maazimio ya bunge ya kuwachukulia hatua waliohusika katika kashfa ya kampuni ya kuzalisha umeme ya Richmond ambayo ndiyo iliingia mkataba mwanzoni na serikali
Tags:

0 comments

Post a Comment