Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Sakata la yule mwandishi wa TBC Jerry Muro kupokea rushwa ya Tsh. 10mil. limeingia sura mpya. i

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Lawama zamwangukia kamanda wa polisi
kanda maalumu ya Dar es salaam 
Kamanda Kova. yadaiwa ilikuwa setup


Sakata la Jerry Muro limeingia sura mpya jioni hii baada ya mtangazaji huyo kutinga katika ofisi 
za gptz na kupasua jipu mara baada ya Kamanda Kova kuongea na media mapema leo. Mengi
 mazito ameongea...msikilize mweyewe katika mahojiano haya pekee na mtandao wako nambari 
one Bongo!
 Kujua nini alichoeleza mwanaharakati huyo Bonyeza PLAY katika video hii!



Jerry Muro, akiwa katika chumba cha habari cha gptz.com jioni hii akipasua jipu kuhusu sakata lake!


Tags:

0 comments

Post a Comment