Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Jengo Refu kuliko yote Duniani lazinduliwa Dubai....

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Image Ghorofa lefu kushinda yote duniani lilizinduliwa Jumatatu na kupewa jina la mkuu wa Abu Dhabi ambaye juzi juzi alitoa mabilioni ya fedha kuunusuru uchumi wa Dubai. Kwa mara ya kwanza kabisa jingo hilo lilijulikana kama Mnara wa Dubai (Burj Dubai) kabla ya kubadilishwa jina
Jana Dubai imefungua jengo refu kuliko yote duniani lilojengwa kwa zaidi ya dola za Kimarekani Bilioni 2! licha ya Dubai kukabiliwa na mzigo wa madeni, Jengo lina urefu wa kilomita moja, 169 floors, at the top is 10'C cooler than the bottom , Incredible
Tags:

0 comments

Post a Comment