Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Ivory Coast yaifunga Stars Kwambindeeeeeeee

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Kwa mbiiiinde
Tuesday, 05 January 2010

Image Timu ya taifa ya Ivory Coast jana ilikuwa na wakati mgumu kuzuia moto wa vijana wa JK kwenye uwanja wa uhuru jana usiku na ilibaki kidogo waende Angola vichwa chin kama isingekuwa kwa goli la Drogba alilofunga kwa kichwa dakika ya 37. Taifa walicheza mchezo wa kujiamini, wakitawala mchezo na kufanya mashambulizi ya mara kwa mara

Image

Tags:

0 comments

Post a Comment