Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Filamu mpya inayoitwa danger zone yaiva

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Elizabeth ndani ya Filamu
Wednesday, 06 January 2010

Aliyekuwa mshiriki katika shindano la Big Brother Africa Revolution kutoka Tanzania, Elizabeth Gupta, ameshiriki katika filamu mpya kabisa ya 'Danger Zone: Himaya ya Hatari' iliyotengenezwa na Kampuni ya RJ Company. Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Vincent Kigosi amesifu kipaji kilichooneshwa na Elizabeth na kukubali kweli mtoto anaweza. Milango inazidi kufunguka kwa Elizabeth na kumpatia michongo kibao. Mungu awe naye

Tags:

0 comments

Post a Comment